Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Wajumbe wa kamati ya maandalizi ya Kongamano la Kitaifa la Kumuenzi Ayatollah Yazdi lenye mada: “Kiongozi wa Wanaharakati wa Mapinduzi ya Kiislamu; Ayatollah Muhammad Yazdi” Siku ya Jumamosi (29/11/2025) wamekutana na kufanya mazungumzo na Ayatollah RamEzani, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya AhlulBayt (a.s).

30 Novemba 2025 - 15:48

Habari Pichani | Mkutano wa Wajumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Kongamano la Kitaifa la Kumuenzi Ayatollah Yazdi na Ayatollah Ramezani

Your Comment

You are replying to: .
captcha